Kiwaja

Kiwaja ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wawaja. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiwaja imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaja iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search